Blogger Tricks

Tuesday 2 February 2016

LISTEN ONLINE AND DOWNLOAD NIPENI MDA

"Nipeni muda muone jinsi atakavyo nitendea" ni maneno matamu na mazuri yanayopatikana katika wimbo huu mpya kabisa ambao utapatikana katika album yake mpya itakayopatikana sokoni siku chache zijazo.
Henry Sanga ni mwimbaji ambaye Mungu amemjalia karama nzuri ya uimbaji,huu ni wimbo ambao hupaswi kukosa kuusikiliza. Naamini utabarikiwa sana.

Friday 8 May 2015

MOTIVATIONAL STATEMENT.

"whatever you do, do it well. Do it so well that when people see you do it they'll want to come back and see you do it and they will want to bring others and show you how well you do what you do.
                                                                                                              Walt Disney

Chochote unachokifanya, kifanye vizuri. kifanye vizuri ili watu wakikuona unakifanya watamani kurudi tena wakuone ukikifanya tena, na watamani kuwaleta wengine wawaoneshe jinsi unavyofanya vizuri kile unacho kifanya; huyo ni Walt Disney
Hii inamaana kwamba; chochote unachotaka kukifanya weka maandalizi, tenga mda wa kukifahamu vizuri, ili uweze kukifanya vizuri.Motivational statements

Thursday 16 April 2015