Blogger Tricks

Wednesday 15 April 2015

MOTIVATION/ HAMASA


"There are no secrets to success. It is the result of preparation, hard work and learning from failure."
by Colin L. Powell

(Hakuna siri ya mafanikio. Bali ni matokeo ya maandalizi mazuri, kufanyakazi kwa bidii na kujifunza kutokana na makosa) na Colin L. Powell

Kama ungeweza kufanya utafiti kwa watu waliofanikiwa katika hii dunia, utagundua kuwa wanafanya kazi kwa bidii. hivyo kufanya kazi kwa bidii, kuwa na maandalizi mazuri ya kile unachotaka kukifanya ndio siri kubwa ya mafanikio. Mtangulize Mungu, fanya kazi kwa bidii utafanikiwa.

2 comments: