Wednesday 24 February 2016
Tuesday 2 February 2016
LISTEN ONLINE AND DOWNLOAD NIPENI MDA
"Nipeni muda muone jinsi atakavyo nitendea" ni maneno matamu na mazuri
yanayopatikana katika wimbo huu mpya kabisa ambao utapatikana katika
album yake mpya itakayopatikana sokoni siku chache zijazo.
Henry Sanga ni mwimbaji ambaye Mungu amemjalia karama nzuri ya
uimbaji,huu ni wimbo ambao hupaswi kukosa kuusikiliza. Naamini
utabarikiwa sana.
Subscribe to:
Posts (Atom)